
Mama mzazi wa Diamond Platnumz akijibu kuhusu swali la Dida ambaye ni Mtangazaji wa Wasafi FM, ambaye aliuliza kuhusu uhusiano wa Diamond na Ricardo Momo, mama huyo amejibu kwa kuuliza ''Diamond na Ricardo mnawaonaje?, ambapo Dida alisema wanafanana.Mama Diamond akaendelea kusema kuwa Baba mzazi wa Diamond anaitwa Salum Idd Nyange huku akidai kuwa Mzee Abdul ni baba mlezi wa Diamond kwani wakati wanaingia...