Mapema Jumamosi hii zilisambaa picha ‘fake’ inayomuonyesha msanii
huyo mahiri duniani akiwa ameshasajiriwa kwa ajili ya tamasha hilo
linalotarajiwa kufanyika Novemba 5 katika viwanja wa Leaders Club jijini
Dar es salaam.
Kupitia ukurasa wa instagram wa Clouds FM umetoa taarifa hii:
Kumetokea uzushi kwamba tumemsajili msanii Jay Z kwa
ajili ya kilele cha #Fiesta2016 hapo #November05. Tunapenda...
Sunday, October 30, 2016
Subscribe to:
Posts (Atom)