Marehemu Idi Amin Dada aliiongoza Uganda kwa miaka minane kati ya mwaka wa 1971 hadi 1979
Mgombea wa urais
katika uchaguzi mkuu ujao nchini Uganda ameahidi kurejesha nyumbani
mabaki ya aliyekuwa rais wa nchini hiyo Idi Amin Dada na kuujengea
makavazi.
Aliyekuwa waziri mkuu wa Uganda Amama Mbabazi,alisema
endapo atachaguliwa kuwa rais...
Wednesday, February 10, 2016


Chifu Mandla Mandela taabani kwa kuukubali Uislamu
Hatua ya mjukuu wa kiongozi
mwanzilishi wa Afrika Kusini Nelson Mandela , Mandla, 42, kuslimu na
kuoa mke wa nne imevutia hisia kali kutoka kwa viongozi wa kabila lake
la AbaThembu.
Wazee hao viongozi wenza wa kabila la Mvezo
iliyokuwa ya marehemu ya Mandela ''hawaamini kuwa Chifu mzima wa kabila
la Mvezo anaweza kuasi tamaduni zake...
Subscribe to:
Posts (Atom)