Serikali ya Tanzania imebaini wizi
wa takribani shilingi milioni 700 sawa na dola laki tatu za marekani
($320,000 )katika shirika lake la Ndege (ATCL) kupitia kampuni ya wakala
wa ukatishaji tiketi ya Salama World Travel iliyopo visiwa vya Comoro.
Hii ni moja ya harakati za serikali kulifufua Shirika la Ndege Tanzania.
Kufuatia upotevu huo wa fedha, mkurugenzi wa Fedha wa ATCL Steven Kasubi amesimamishwa kazi
0 comments:
Post a Comment