Mkali wa hiphop Tanzania Chid Benz ametoa ngoma mpya akiwa na The best male vocalist Tanzania Q Chief rekodi inaitwa ‘Muda’ isikilize Hapa. "Muda nliopoteza hawawezi kufidia, gharama za maumivu hawawezi kufidia" #Sauti_ya_duniani" "wanauliza niko wapi wambie nipo geto najibland"
Rapper Chidi Benz amefanikiwa kuirudisha afya yake baada ya kuachana na matumizi ya Madawa ya kulevya.
Mapema mwaka huu katika kituo
kimoja cha runinga Chidi Benz alikiri kutumia Madawa ya kulevya na
kuomba msaada ambapo meneja Diamond na Tip Top Connection, Babu Tale
akishirikiana na Kalapina walimsaidia na kumpeleka katika kituo cha
Bagamoyo Sober House ambacho kilimsaidia kuachana na Matumizi ya madawa
ya kulevya.