June 24 2016 Ofisi ya Rais Tawala za 
Mikoa na Serikali za Mitaa ‘TAMISEMI’ imetangaza majina ya wanafunzi 
waliochaguliwa kujiunga na kidato cha tano na vyuo vya ufundi kwa mwaka 
2016. Wanafunzi waliochaguliwa ni kutoka shule za Serikali na zisizo za 
Serikali, Kwa urahisi zaidi unaweza kuyaona majina yote kwenye hii link hapa
 RSS Feed
 Twitter

2:36 AM
MZM
 Posted in 
0 comments:
Post a Comment