Mkazi wa Dar es Salaam, Goodluck Madaraka anayedaiwa kujeruhiwa na
risasi wakati wa mkesha wa sherehe ya harusi eneo la Tabata Kisukulu
usiku wa kuamkia jana, akiwa katika eneo hilo lililogeuka kuwa la msiba
jana, baada ya mwenzake Salim Ally kudaiwa kuuawa kwa risasi na jirani
yao aliyekerwa na kelele za muziki wakati wa sherehe hiyo. Picha na
Kalunde Jamal
si. Katika hali isiyokuwa ya kawaida, mwanamume mmoja amewafyatulia
risasi watu wawili na kusababisha kifo cha mmoja kwa kile kinachodaiwa
kumletea usumbufu wakati wa mkesha wa haru