Kocha
wa Atletico Madrid Diego Simeone amesema Fernando Torres amerejea kuwa
''mwanaume'' ndivyo alivyomuita hivyo baada ya mshambuliaji huyo kufunga
magoli yake ya kwanza tangu alipojiunga na Atletico madrid.
Torres
alijiunga na Atletico mwanzoni mwa mwezi huu na aliifungia klabu hiyo
magoli mawili katika dimba la Bernabeu na kutoka sare ya mabao 2-2
ilipokutana na Real Madrid katika michuano ya Copa del rey.
Torres naye ameonesha furaha yake na kushukuru wapenzi wake kwa kumuunga mkono.
0 comments:
Post a Comment