
Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Wabunge ambao wataingia Bungeni baada ya uchaguzi Mkuu uliofanyika nchini kote Oktoba 25, 2015 ni kama ifuatavyo.
Idadi kubwa ya wabunge hao ni kutoka chama tawala cha CCM, ikifuatiwa na
Chadema na CUF na vyama vingine kama NCCR-Mageuzi na ACT-Wazalendo.
WABUNGE WALIOSHINDA KUPITIA CCM
Jimbo la Busega (Raphael Chegeni), Nyamagana (Stanslaus Mabula),...