Wabunge ambao wataingia Bungeni baada ya uchaguzi Mkuu uliofanyika nchini kote Oktoba 25, 2015 ni kama ifuatavyo. 
Idadi kubwa ya wabunge hao ni kutoka chama tawala cha CCM, ikifuatiwa na
 Chadema na CUF na vyama vingine kama NCCR-Mageuzi na ACT-Wazalendo.
WABUNGE WALIOSHINDA KUPITIA CCM
Jimbo la Busega (Raphael Chegeni), Nyamagana (Stanslaus Mabula), Msalala
 (Ezekiel Maige), Ngara (Alex Gashaza), Kigamboni (Faustine Ndugulile), 
Kishapu (Suleiman Nchambi) na Kisarawe (Suleiman Jaffo).
Majimbo mengine ni Bagamoyo (Dk Shukuru Kawamba), Ilemela (Angelina 
Mabula), Ilala (Mussa Azzan ‘Zungu’), Singida Mjini (Mussa Sima), Same 
Magharibi (Dk Mathayo David Mathayo), Rungwe (Saul Amon), Mbogwe 
(Augustino Masele), Chalinze (Ridhiwani Kikwete), Iramba Magharibi 
(Mwigulu Nchemba) na Hanang (Dk Mary Nagu).
Aidha, majimbo mengine ni Njombe Kaskazini (Joram Hongoli), Dodoma Mjini
 (Antony Mavunde), Mtama (Nape Nnauye), Babati Vijijini (Jitu Soni), 
Kahama Mjini (Jumanne Kishimba), Sikonge (George Kakunda), Nzega Mjini 
(Hussein Bashe), Urambo (Margaret Sitta), Mpanda Vijijini (Moshi Kakoso)
 na Geita Mjini (Constantine Kanyasu).
Chama hicho pia kilijipatia ushindi katika majimbo ya Mbeya Vijijini 
(Oran Njeza), Mafinga Mjini (Cosato Chumi), Kalenga (Godfrey Mgimwa), 
Isimani (William Lukuvi), Songea Mjini (Leonidas Gama), Mkalama (Allan 
Kiula), Newala (George Mkuchika), Kavuu (Dk Prudenciana Kikwembe) na 
Kwimba (Mansoor Shanif).
Mengine ni Bukoba Vijijini (Jason Rweikiza), Nyasa (Stella Manyanya), 
Kondoa Mjini (Edwin Sanda), Kondoa Vijijini (Dk Kashatu Kijaji), Chemba 
(Juma Nkamia), Chamwino (Joel Mwaka), Mtera (Livingstone Lusinde), Bahi 
(Omar Baduel), Mpwapwa (George Lubeleje), Kibakwe (George Simbachawene) 
na Kongwa (Job Ndugai).
CCM pia imepata Sengerema (William Ngeleja), Maswa Mashariki (Stanslaus 
Nyongo), Maswa Magharibi (Mshimba Ndaki), Itilima (Njalu Silanga), 
Bariadi (Andrew Chenge), Meatu (Salum Hamis), Muheza (Balozi Adadi 
Rajabu), Kasulu Mjini (Daniel Nsanzugwanko), Buhigwe (Albert Ntabaliba),
 Handeni Vijijini (Mboni Mhita) na Morogoro Mjini (Abdulaziz Abood).
Gairo (Ahmed Shabiby), Rorya (Lameck Airo), Ngorongoro (William Ole 
Nasha), Mvomero (Suleiman Murad), Morogoro Kusini Mashariki (Mgumba 
Omary), Morogoro Kusini (Prosper Mbena), Nkasi Kusini (Deuderius 
Mipata), Nkasi Kaskazini (Ally Keissy), Singida Kaskazini (Lazaro 
Nyalandu), Singida Magharibi (Elibariki Kingu) na Igunga (Dk Dalaly 
Kafumu).
Mengine yaliyoenda CCM ni Solwa (Ahmed Salum), Katavi (Issac Kamwele), 
Mpanda Mjini (Sebastian Kapufi), Mpanda Vijijini (Moshi Kakoso), Nsimbo 
(Richard Mbogo), Ruangwa (Kassim Majaliwa), Sumbawanga Mjini (Aeshi 
Hilaly), Kyela (Dk Harrison Mwakyembe), Ileje (Janeth Mbene) na Mbarali 
(Pirmohamed Mulla).
Majimbo mengine yaliyochukuliwa na chama hicho ni Busokelo (Atupele 
Mwakibete), Vwawa (Japhet Hasunga), Lupa (Victor Mwambalaswa), Songwe 
(Philipo Mulugo), Madaba (Joseph Mhagama), Peramiho (Jenista Mhagama), 
Kilosa Kati (Mohamed Bawazir), Kiteto (Emanuel Papian), Mbulu (Paul 
Isaay) na Karagwe (Innocent Bashungwa).
Kyerwa (Innocent Bilakwate), Nkenge (Dk Diodorus Kamala), Muleba Kusini 
(Profesa Anna Tibaijuka), Muleba Kaskazini (Charles Mwijage), Biharamulo
 Magharibi (Mukasa Oscar), Mwibara (Kangi Lugola), Bunda Vijijini 
(Boniphace Getere), Makete (Dk Norman Sigala), Kibaha Vijijini (Hamoud 
Jumaa) na Sumve (Richard Ndassa).
Magu (Kiswaga Destery), Chato (Dk Merdad Kalemani), Nzega Vijijini (Dk 
Khamis Kigwangallah), Njombe Mjini (Edward Mwalongo), Mwanga (Profesa 
Jumanne Maghembe), Nyangh’wale (Hussein Kassu), Newala Vijijini (Rashid 
Akbal), Butiama (Nimrod Mkono), Korogwe Vijijini (Stephen Ngonyani) na 
Korogwe Mjini (Mary Chatanda).
Misungwi (Charles Kitwanga), Busanda (Lolensia Bukwimba), Manonga (Seif 
Gulamali), Tabora Mjini (Emmanuel Mwakasaka), Mlalo (Rashid Shangazi), 
Kisesa (Luhaga Mpina), Lindi Mjini (Selemani Kaunje), Mkinga (Dustan 
Kitandula), Mbinga Mjini (Sixtus Mapunda), Mbinga Vijijini (Martin 
Msuha) na Musoma Mjini (Vedastus Mathayo).
Mengine ni Geita Vijijini (Joseph Kasheku), Kibaha Mjini (Silvestry 
Koka), Bukombe (Dotto Biteko), Shinyanga Mjini (Steven Masele), Msalala 
(Ezekiel Maige), Pangani (Jumaa Aweso), Mufindi Kaskazini (Mahamoud 
Mgimwa), Mufindi Kusini (Mendrad Kigola), Kilolo (Venance Mwamoto) na 
Maswa Mashariki (Stanslaus Nyongo).
Maswa Magharibi (Mashimba Ndaki), Chilonwa (Joel Mwaka), Mtwara Vijijini
 (Hawa Ghasia), Nanyamba (Abdallah Chikota), Tunduru Kusini (Daimu 
Mpakate), Tunduru Kaskazini (Ramo Makani), Bunda Vijijini (Boniface 
Mgetere), Mkuranga (Abdallah Ulega) na Mbulu Vijijini (Gregory Massay) 
nayo yameenda CCM.
Mengine ni Mbulu Mjini (Zacharia Paul), Kilindi (Kigua Mohamed), 
Namtumbo (Edwin Ngonyani), Ushetu (Elias Kuandikwa), Bumbuli (January 
Makamba), Segerea (Bonnah Kaluwa), Kalambo (Josephat Kandege), 
Wanging’ombe (Gerson Lwenge), Kigoma Kaskazini (Peter Serukamba), 
Muhambwe (Justus Nditiye), Kasulu Vijijini (Agustie Vuma) na Kilolo 
(Venance Mwamoto).
WABUNGE WA CHADEMA
Kwa upande wa CHADEMA, hadi sasa kimejinyakulia majimbo 35 ambayo ni 
Kibamba (John Mnyika), Mikumi (Joseph Haule), Bukoba Mjini (Wilfred 
Lwakatare), Same Mashariki (Nagenjwa Kayoboka), Rombo (Joseph Selasini),
 Bunda Mjini (Ester Bulaya), Hai (Freeman Mbowe) na Mbeya Mjini (Joseph 
Mbilinyi).
Majimbo mengine ni Kawe (Halima James Mdee), Longido (Onesmo Nangole), 
Ukonga (Waitara Mwita), Mlimba (Suzan Kiwanga), Singida Mashariki (Tundu
 Lissu), Ubungo (Said Kubenea), Mbozi (Paschal Haonga), Tunduma (Frank 
Mwakajoka), Momba (David Silinde), Kilombero (Peter Lijualikali) na 
Karatu (Willy Qambalo).
Aidha, chama hicho kilishinda katika majimbo ya Simanjiro (James ole 
Millya), Arumeru Magharibi (Gipson ole Meseyeki), Tarime Mjini (Ester 
Matiko), Siha (Godwin Mollel), Buyungu (Kasuku Bilago), Monduli (Julius 
Kalanga), Arumeru Mashariki (Joshua Nassari), Serengeti (Marwa Ryoba) na
 Babati Mjini (Pauline Gekul).
Mengine ni Moshi Mjini (Jaffar Michael), Tarime Vijijini (John Heche), 
Iringa Mjini (Peter Msigwa), Ndanda (Cecil Mwambe) na Moshi Vijijini 
(Anthony Komu). CUF yenyewe hadi sasa kina majimbo 17 ambayo ni Temeke 
(Abdallah Mtolea), Mchinga (Hamidu Bobali), Kilwa Kusini (Said Bungala),
 Kaliua (Magdalena Sakaya), Tandahimba (Ahmad Katani), Mtwara Mjini 
(Maftaha Nachuma), Kinondoni (Maulid Mtulia), Kilwa Kaskazini (Vedasto 
Ngombale) na Tanga Mjini (Musa Mbaruk). Majimbo mengine ni Wawi, 
Chakechake, Ole, Ziwani, Kojani, Gando, Wete na Mgogono.
WABUNGE WENGINE KUPTIA CHADEMA, CUF, ACT WAZALENDO na NCCR MAGEUZI
Hai(Freeman Mbowe), Vunjo (James Mbatia) Kigoma Mjini (Zitto Kabwe), 
Arumeru Mashariki (Joshua Nassari), Kawe (Halima Mdee), Ukonga (Waitara 
Mwita), Kibamba (John Mnyika), Ubungo (Said Kubenea), Bunda Mjini (Ester
 Bulaya), Tunduma (Frank Mwakanjoka), Siha (Dk Godwin Mollel), Tarime 
Vijijini (Esther Matiko), Same Mashariki (Nagenjwa Kayoboka), Kaliua 
(Magdalena Sakaya), Mlimba (Suzan Kiwanga), Iringa Mjini (Peter Msigwa).
Chanzo: Habari Leo Online
 RSS Feed
 Twitter

9:00 AM
Unknown
 Posted in 
0 comments:
Post a Comment