MBUNGE WA LUDEWA MHESHIMIWA DEO FILIKUNJOMBE AKIWA AMEBEBA BATI AKPELEKA KWA MAFUNDI
                     Mbunge wa ludewa mjini MH.DEO FILIKUNJOMBE aendelea kushilikiana na
 wananchi wa ludewa katika shughuli za maendeleo 
mbalimbali na hapa tunaona jinsi anavyoendelea kujitoa kwa ajili ya 
shule ya msingi ludewa mjini kuhakiki ianrudi katika hai ya zamani baada
 ya kuezukiwa na kimbunga na kusababisha uhalibiifu mkubwa kwa majengo 
yaliyoizunguka shule hiyo
 DEO FILIKUNJOMBE AKITOA MAELEKEZO KWA MAFUNDI JINSI YA KUANZA KUUJENGA UKUTA AMBAO ULIDONDOKA
MBUNGE WA LUDEWA DEO AKISIMAMIA KWA UKARIBU SHUGHULI ZA USAFIRISHAJI WA VIFAA
 MBUNGE AKIJAZA MCHANGA KWENYE VINDOOO
 MHESHIMIWA DEO FILIKUN JOMBE AKIWASAIDIA MAFUNDI KUPAKIA MATOFALI JUU\