Sunday, December 14, 2014

  MBUNGE WA LUDEWA MHESHIMIWA DEO FILIKUNJOMBE AKIWA AMEBEBA BATI AKPELEKA KWA MAFUNDI
                     Mbunge wa ludewa mjini MH.DEO FILIKUNJOMBE aendelea kushilikiana na
wananchi wa ludewa katika shughuli za maendeleo mbalimbali na hapa tunaona jinsi anavyoendelea kujitoa kwa ajili ya shule ya msingi ludewa mjini kuhakiki ianrudi katika hai ya zamani baada ya kuezukiwa na kimbunga na kusababisha uhalibiifu mkubwa kwa majengo yaliyoizunguka shule hiyo


 DEO FILIKUNJOMBE AKITOA MAELEKEZO KWA MAFUNDI JINSI YA KUANZA KUUJENGA UKUTA AMBAO ULIDONDOKA



MBUNGE WA LUDEWA DEO AKISIMAMIA KWA UKARIBU SHUGHULI ZA USAFIRISHAJI WA VIFAA


 MBUNGE AKIJAZA MCHANGA KWENYE VINDOOO

 MHESHIMIWA DEO FILIKUN JOMBE AKIWASAIDIA MAFUNDI KUPAKIA MATOFALI JUU\

0 comments: