Mgombea wa Urais kwa kupitia Chama Cha Mapinduzi Dk. John Pombe Magufuli akihutubia wakazi wa
kijiji cha Kikondo kata ya Ilungu Mbeya vijijini akiwa njiani kuelekea mkoa wa Njombe .

kijiji cha Ujuni Makete mkoani Njombe .
Mwenyekiti wa Shirikisho la vyama vya Watu wenye ulemavu Tanzania ( SHIVYAWATA) Amon Anastaz
Mpanju akisalimia wakazi wa Iwawa kwenye mkutano wa Kampeni za CCM uliofanyika stendi ya
Mabehewani Makete.
Mgombea wa Urais kwa kupitia Chama Cha Mapinduzi Dk. John Pombe Magufuli akiwahutubia wakazi
wa Ikonda kata ya Tandala ambapo aliahidi kumaliza matatizo ya msingi ya wananchi hao ikiwa
kujengwa kwa barabara ya lami, kujenga visima vya maji, elimu bure mpaka kidato cha nne.
Mgombea wa Urais kwa kupitia Chama Cha Mapinduzi Dk. John Pombe Magufuli akihutubia wakazi wa Wanging'ombe mkoani Njombe kwenye mkutano wa Kampeni za CCM ambapo leo ameingia mkoa wa tatu.
Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara) Philip Mangula (kushoto) akiwa na Mwenyekiti wa CCM mkoa wa
Njombe Ndugu Deo Sanga na Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi na Mjumbe wa Kamati
Kuu ya CCM Mhe. Wiliam Lukuvi wakimsikiliza Mgombea wa Urais kwa kupitia Chama Cha Mapinduzi
Dk. John Pombe Magufuli kwenye mkutano wake katika wilaya ya Wanging'ombe.
Mgombea wa Urais kwa kupitia Chama Cha Mapinduzi Dk. John Pombe Magufuli akimkabidhi mgombea Ubunge wa Jimbo la Wanging'ombe Eng.Gerson Lwenge ilani ya uchaguzi ya CCM
Mhe. Pindi Chana akiwasalimu wakazi wa Wanging'ombe
Mgombea wa Urais kwa kupitia Chama Cha Mapinduzi Dk. John Pombe Magufuli akiagana na wagombea
wa nafasi ya udiwani wa jimbo la Wanging'ombe mkoani Njombe.
Mgombea wa Urais kwa kupitia Chama Cha Mapinduzi Dk. John Pombe Magufuli akiwaaga wananchi wa wanging'ombe.
Mgombea wa Urais kwa kupitia Chama Cha Mapinduzi Dk. John Pombe Magufuli (kulia) akizungumza na Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara) Mhe.Philip Mangula
.Waziri wa Ardhi,Nyumba na Maendeleo ya Makazi ambaye pia ni mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM
Mhe. Wiliam Lukuvi akihutubia wakazi wa njombe mjini kwenye uwanaja wa Saba Saba.
Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara Mhe. Philip Mangula akihutubia wakazi wa Njombe mjini kwenye
mkutano wa kumnadi mgombea urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli.
Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akihutubia wakazi wa mji wa Njombe kwenye
uwanja wa sabasaba ambapo aliwahakikishia serikali yake itakuwa ya wachapa kazina kuelta maendeleo
kwa wananchi.
Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akihutubia wakazi wa mji wa Njombe kwenye
uwanja wa sabasaba ambapo aliwahakikishia serikali yake itakuwa ya wachapa kazina kuelta maendeleo
kwa wananchi.
kijiji cha Kikondo kata ya Ilungu Mbeya vijijini akiwa njiani kuelekea mkoa wa Njombe .
Mgombea wa Urais kwa kupitia Chama Cha Mapinduzi Dk. John Pombe Magufuli akihutubia wakazi wa
kijiji cha Ujuni Makete mkoani Njombe .
Mwenyekiti wa Shirikisho la vyama vya Watu wenye ulemavu Tanzania (
Mpanju akisalimia wakazi wa Iwawa kwenye mkutano wa Kampeni za CCM uliofanyika stendi ya
Mabehewani Makete.
Mgombea wa Urais kwa kupitia Chama Cha Mapinduzi Dk. John Pombe Magufuli akiwahutubia wakazi
wa Ikonda kata ya Tandala ambapo aliahidi kumaliza matatizo ya msingi ya wananchi hao ikiwa
kujengwa kwa barabara ya lami, kujenga visima vya maji, elimu bure mpaka kidato cha nne.
Mgombea wa Urais kwa kupitia Chama Cha Mapinduzi Dk. John Pombe Magufuli akihutubia wakazi wa Wanging'ombe mkoani Njombe kwenye mkutano wa Kampeni za CCM ambapo leo ameingia mkoa wa tatu.
Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara) Philip Mangula (kushoto) akiwa na Mwenyekiti wa CCM mkoa wa
Njombe Ndugu Deo Sanga na Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi na Mjumbe wa Kamati
Kuu ya CCM Mhe. Wiliam Lukuvi wakimsikiliza Mgombea wa Urais kwa kupitia Chama Cha Mapinduzi
Dk. John Pombe Magufuli kwenye mkutano wake katika wilaya ya Wanging'ombe.
Mgombea wa Urais kwa kupitia Chama Cha Mapinduzi Dk. John Pombe Magufuli akimkabidhi mgombea Ubunge wa Jimbo la Wanging'ombe Eng.Gerson Lwenge ilani ya uchaguzi ya CCM
Mhe. Pindi Chana akiwasalimu wakazi wa Wanging'ombe
Mgombea wa Urais kwa kupitia Chama Cha Mapinduzi Dk. John Pombe Magufuli akiagana na wagombea
wa nafasi ya udiwani wa jimbo la Wanging'ombe mkoani Njombe.
Mgombea wa Urais kwa kupitia Chama Cha Mapinduzi Dk. John Pombe Magufuli akiwaaga wananchi wa wanging'ombe.
Mgombea wa Urais kwa kupitia Chama Cha Mapinduzi Dk. John Pombe Magufuli (kulia) akizungumza na Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara) Mhe.Philip Mangula
.Waziri wa Ardhi,Nyumba na Maendeleo ya Makazi ambaye pia ni mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM
Mhe. Wiliam Lukuvi akihutubia wakazi wa njombe mjini kwenye uwanaja wa Saba Saba.
Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara Mhe. Philip Mangula akihutubia wakazi wa Njombe mjini kwenye
mkutano wa kumnadi mgombea urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli.
Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akihutubia wakazi wa mji wa Njombe kwenye
uwanja wa sabasaba ambapo aliwahakikishia serikali yake itakuwa ya wachapa kazina kuelta maendeleo
kwa wananchi.
Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akihutubia wakazi wa mji wa Njombe kwenye
uwanja wa sabasaba ambapo aliwahakikishia serikali yake itakuwa ya wachapa kazina kuelta maendeleo
kwa wananchi.
0 comments:
Post a Comment