Atakuwa mtu wa kwanza kutangaza wazi kuwa anashiriki mapenzi ya jinsia moja ambaye amewahi kuteuliwa kuchukua cheo cha juu zaidi katika jeshi la Marekani.
Idara ya ulinzi nchini Marekani ilifanyia marekebisho sera zake mwezi juni na kuondoa vizuizi vyo vyote kwa misingi ya mwelekeo ya kijinsia.
Uteuzi wa bwana Fanning bado unahitaji kudhinishaa na bunge la senate.
0 comments:
Post a Comment