
Naibu spika wa bunge Job Dungai, yeye ndiye kashikilia rungu, Ripoti " ijadiliwe au la"

Mbunge
wa Kigoma Kaskazini (CHADEMA), Ambaye pia ni mwenyekiti wa kamati ya
bunge ya hesabu za serikali, (PAC), Zitto Kabwe. Taarifa ya CAG kuhusu
akaunti nya Tegeta Escrow, iko mikononi mwake

Mnadhimu
mkuu wa kambi ya upinzani bungeni, Tundu Lissu, (CHADEMA),akizunghumza
bungeni mjini Dodoma jana, wakati lile sakata la IPTL, linalogubigwa na
akauti iliyojichukulia umaarufu TEGETA ESCROW, lilipoibuka bungen i
wakati wa kipindi cha maswali ya papo kwa hapo kwa waziri mkuu. Wabunge
wanataka "ngoma" ijadiliwe bungeni, licha ya kashfa hiyo kuwa tayari
mahakama kuu ya Tanzania

Mbunge
wa Kigoma Kusini, (NCCR-Mageuzi), David Kafulila, huyu ndiye aliyeibua
kashfa ya akaunti ya Tegeta-Escrowkwa picha zaidi bofya soma zaidi

Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki na mbunge wa Urambo, (CCM), Samwel Sitta

Mbunge wa Iringa mjini, (CHADEMA), Mchungaji Peter Msigwa

Mbunge wa kuteuliwa na Rais, ambaye pia ni Mwenyekiti wa NCCR-M,ageuzi, James Mbatia

Mbunge kijana, Esther Bulaya, (CCM)

Mbunge wa Longido,(CCM), Lekule Laizer,

Mbunge wa Kasulu mjini (NCCR-Mageuzi), Moses Machali, ndiye aliyemchokoza Waziri mkuu kuhusu ripoti hiyo kujadiliwa bungeni

Waziri
Mkuu Mizengo Pinda, "Punguzeni jazba", akiwasihi wabunge kuwa serikali
iko makini na inasubiri kwa hamu taarifa hiyo ili kila mtu hata yeye
akibainika abebe msalaba wake, lakini akatahadharisha kuhusu umuhimu wa
kuheshimu mihimili ya dola ikiwemo mahakama

Mbunge wa Kahama (CCM), James Lembeli Picha kwa hisani ya K-VIS Production
Vijimambo
0 comments:
Post a Comment