Tuesday, May 24, 2016

Baada ya kuwasaini Davido na Alikiba, record label kongwe duniani, Sony Music imemsaini msanii wa Afrika Kusini, Mobi Dixon.
Mobi-Dixon
Mobi Dixon anakuwa msanii wa tatu kutoka Afrika kusainiwa kwenye label hiyo.

Moby-Dixon-600x600
Sony Music walitangaza kupitia ukurasa wao wa Facebook kuhusu usajili wao huo mpya.
“Join us in giving a soulful House welcome to the legendary Mobi Dixon, who has joined the SME Africa family under our HOUSE AFRIKA house music label!” Waliandika
Tazama video ya msanii huyo

0 comments: