Zitto Kabwe akimvisha pete mchumba wake
Zitto Kabwe amemchumbia msichana mrembo anayetarajia kumbadilisha jina soon kuwa ‘Mrs Kabwe.’ Mchumba wake anaitwa Anna Bwana anayefanya kazi BBC Media Fund ambapo kabla ya hapo alikuwa mfanyakazi wa shirika la Oxfam.
Ndugu jamaa na marafiki walioshuhudia tukio hilo la kuvishana pete ya uchumba kati ya Zitto Kabwe na Anna Bwana kama inavyoonekana katika picha hapo juu.
0 comments:
Post a Comment