
3:04 AM

MZM
 
Shukran
 Kubwa sana Zimfikie Mwenyez Mungu kwa Tuzo hii, na pia Shukran za Dhati
 Ziwafikie Wadau, Media, Wasanii na Mashabiki zangu wote kwa kunipigia 
kura na Kuhamasisha kwa Nguvu…Niushkuru sana Uongozi wangu, Familia 
pamoja na Team nzima ya @wcb_wasafi hususan Madancers wangu kwani 
Naamini wao ndio wamenipika nikapikika hadi leo hii kuweza kuletaTunzo 
hii Nzito ya Mtumbwizaji Bora Africa, Nyumbani…lakini pia Shukrani za 
kipekee zimfikie Mama yangu kipenzi Sandra kwa Mafunzo na Malezi 
anayonipa kila siku juu ya Dunia….na Shukran tena za kipekee na aina 
yake zimfikie Roho yangu, Kipenzi Changu @zarithebosslady Kwa raha na 
Usingizi mwanana anipatiao na kunifanya nizidi kutunga na kuwa M’bunifu 
kwenye kazi.. #BestLiveAct #Mtvmama2015 Asanteni sana
 
 
 
 
          
      
 
  
 
 
 
 
 
 
0 comments:
Post a Comment