Tuesday, December 27, 2016

Kama tunavyofahamu, nchi yetu ina aina mbalimbali za nyoka ambao pindi wakimuuma mtu huleta madhara mbalimbali ya kiafya. Aidha tunafahamu kwamba tatizo hili lipo zaidi katika maeneo ya vijijini ambako uwezo wa wananchi kumudu gharama za matibabu ni mdogo...

Sunday, November 27, 2016

Maphorisa na Wizkid wametuletea hii ya pamoja inayoenda kwa jina la Good Love ikiwa imetayarishwa na Nana Rouge...
Wimbo mpya kutoka Niger unaoenda kwa jina la Life, Bisa Kdei  akimshirikisha Patrorankin...
Do like that Kutoka kwa Korede Bello ikiwa imetayarishwa na Mavin Records chini ya Producer Altim...
Otile Brown Katuletea wimbi huu akimshirikisha Baraka The prince, Wimbo unaitwa Niseme Nawe. Producer akiwa Teddy B. Na video Director akiwa Dr Eddie chini ya Dreamland Music Entertainment...

Thursday, November 10, 2016

Msanii Yemi Alade kutoka Nigeria,ameamua kurudi bivi  baada ya MTV mama 2016 na hii ‘Tumbu...
Kundi la Weusi wameachia wimbo mpya unaitwa “Nijue”, wamemshirikisha  Christian Bella, Producer ni Nahreel wa The Industry....

Sunday, October 30, 2016

Mapema Jumamosi hii zilisambaa picha ‘fake’ inayomuonyesha msanii huyo mahiri duniani akiwa ameshasajiriwa kwa ajili ya tamasha hilo linalotarajiwa kufanyika Novemba 5 katika viwanja wa Leaders Club jijini Dar es salaam. Kupitia ukurasa wa instagram wa Clouds FM umetoa taarifa hii: Kumetokea uzushi kwamba tumemsajili msanii Jay Z kwa ajili ya kilele cha #Fiesta2016 hapo #November05. Tunapenda...

Thursday, October 27, 2016

Kupakua wimbo huu bofya hapa chini...
Bonyeza hapo chini ili kuona matokeo ya darasa la saba. (PALIPOANDIKWA MATOKEO HAYA HAPA) MATOKEO HAYA HA...

Sunday, July 31, 2016

Msanii wa Nigeria "Tiwa Savage" aachiwa wimbo wake mpya "Bad" akimshirikisha "Wizkid". Video imefanywa na Director "Sesa...

Friday, July 22, 2016

Tume ya vyuo vikuu nchini TCU, imevizuia vyuo sita nchini kufanya udahili wa wanafunzi kwenye msimu wa masomo wa 2016/17. Waziri wa Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundi Profesa. Joyce Ndalichako (Kulia) Hatua hiyo imechukuliwa na tume hiyo kutokana na vyuo hivyo kutokidhi viwango vya elimu vilivyokuwa vikiitoa. Vyuo hivyo ni pamoja na: 1. International Medical and Technological University (IMTU)...
Mchekeshaji Ismail Issa Makombe ‘Kundambanda’ amefariki dunia usiku wa kuamkia Ijumaa hii baada ya kusumbuliwa na matatizo ya tumbo kwa muda mrefu. Mwigizaji huyo ambaye pia aligombea ubunge katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2015, amekutwa na umauti akiwa nyumbani kwao Mtwara. Akiongea na Bongo5 Ijumaa hii Mwenyekiti wa Chama cha wasanii wa Vichekesho Tanzania, Mkono Wa Mkonole amethitisha kutokea...

Friday, July 15, 2016

Bofya hapa kupata matokeo (ACSEE) Bofya hapa kupata matokeo (DSEE) Bofya hapa kupata matoke (GATCE...

Tuesday, July 12, 2016

Kama wewe ni mpenzi wa mziki mtamu kutoka Afrika basi huwezi kuchelewa kuiona video hii. Kwa hapa nadhani ni mwendo wa tuzo tu zinangojea kumiminika. Basi ruka kidogoooooo..... ...

Saturday, July 2, 2016

  Mkhitaryan Mshambuliaji wa klabu ya Borussia Dortmund Henrikh Mkhitaryan amesajiliwa na klabu ya Manchester United ,kulingana na klabu hiyo ya Ujerumani. Afisa mkuu wa Dortmund Hans-Joachim Watzke amesema kuwa wamekubali kumuuza mchezaji huyo kwa United ili kumzuia nahodha huyo wa Armenia kuwa ajenti huru mwishoni mwa msimu ujao. ''Iwapo tungekataa mchezaji huyo angekuwa...

Sunday, June 26, 2016

  Historia ya Mnara ule ilianza mwaka 1889, kisha, kabla na baada ya Vita Kuu ya Kwanza ya Dunia (1914 - 1918) hadi Vita Kuu ya Pili ya Dunia (1939 - 1945). Kwa ufupi Sanamu ya mwanzo kukaa pale ni sanamu ya Herman Von Wissman, Gavana wa Kijerumani ambaye anakumbukwa kwa kutekeleza utekaji na mauaji ya Abushir Ibn Salim Al Harthi, mtawala/sultani wa Pangani Tang...
June 24 2016 Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa ‘TAMISEMI’ imetangaza majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na kidato cha tano na vyuo vya ufundi kwa mwaka 2016. Wanafunzi waliochaguliwa ni kutoka shule za Serikali na zisizo za Serikali, Kwa urahisi zaidi unaweza kuyaona majina yote kwenye hii link ha...

Friday, June 17, 2016

Rapper Chidi Benz amefanikiwa kuirudisha afya yake baada ya kuachana na matumizi ya Madawa ya kulevya. Mapema mwaka huu katika kituo kimoja cha runinga Chidi Benz alikiri kutumia Madawa ya kulevya na kuomba msaada ambapo meneja Diamond na Tip Top Connection, Babu Tale akishirikiana na Kalapina walimsaidia na kumpeleka katika kituo cha Bagamoyo Sober House ambacho kilimsaidia kuachana na...

Wednesday, June 8, 2016

Nchini kenya waziri wa fedha Henry Rotich leo amewasilisha bungeni bajeti ya makadirio ya matumizi ya pesa za serikali katika kipindi cha mwaka 2016-2017. Bajeti hiyo ya jumla ya shilingi trilioni 2.26 inatarajiwa kufadhiliwa kupitia ukusanyaji wa ushuru na mikopo kutoka kwa washirika wa kimaendeleo. Serikali inalenga kukopa shilingi bilioni 778 hatua ambayo itaongeza deni la kenya ambalo...

Tuesday, May 31, 2016

...
Msanii Korede Bello aachia wimbo wake mpya unaoitwa One and Only kama video yake inavyoonekana hapojuu.unaweza kuiangalia moja kwa moja hapo ...

Monday, May 30, 2016

  Chuo kikuu cha Dodoma Wanafunzi katika chuo kikuu cha Dodoma nchini Tanzania wamefukuzwa chuoni humo baada ya kuzuka kwa mgogoro kati ya serikali na wahadhiri wa chuo hicho. Wanafunzi hao waliagizwa kuondoka katika chuo hicho kufikia saa kumi na mbili jioni siku ya Jumapili. Ilani Ilani hiyo imesema...

Thursday, May 26, 2016

Mwigizaji Jackline Wolper jana amefanya mahojiano na Zamaradi Mketema kwenye kipindi cha TakeOne na kuzungumzia mambo mengi kuhusu yeye na aliyekuwa mpenzi wake Putin ‘Mkongo’ aliyemvisha pete, na uhusiano wake na msanii Harmonize. ‘Ni kweli Raj (Harmonize)ni mpenzi wangu,ukweli nilimjua siku nyingi nilikuwa nikimchukulia kama mwanamuziki tu, tuna mwezi mmoja na wiki mbili sasa’’...

Tuesday, May 24, 2016

Zitto Kabwe akimvisha pete mchumba wake Zitto Kabwe amemchumbia msichana mrembo anayetarajia kumbadilisha jina soon kuwa ‘Mrs Kabwe.’ Mchumba wake anaitwa Anna Bwana anayefanya kazi BBC Media Fund ambapo kabla ya hapo alikuwa mfanyakazi wa shirika la Oxfa...
Baada ya kuwasaini Davido na Alikiba, record label kongwe duniani, Sony Music imemsaini msanii wa Afrika Kusini, Mobi Dixon. Mobi Dixon anakuwa msanii wa tatu kutoka Afrika kusainiwa kwenye label hiy...

Monday, May 23, 2016

Kialama cha WhatsApp WhatsApp imepitia mabadiliko mengi, na imekuwa kati ya applications zinazotumika na kupendwa zaidi duniani. Baada ya kununuliwa na Facebook, waendelezaji walianza kuongeza vitu vipya kama kupiga simu za sauti, kuweza kutuma mafaili, na kuongezwa kwa usalama zaidi. Kwasasa, WhatsApp ni moja kati ya application yenye watumiaji wengi zaidi, ikiwa na angalau watumiaji...

Saturday, May 21, 2016

Msanii Kadjanito ameachia video mpya ya wimbo ‘One More Night. Video imeongozwa na GQ Digital Vibe...
Msanii wa Hip Hop Stamina ameachia wimbo mpya unaitwa “Mmeniroga”, Producer Rash D...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ametengua uteuzi wa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mheshimiwa Charles Kitwanga kuanzia leo tarehe 20 Mei, 2016. Rais Magufuli ametengua uteuzi huo kufuatia kitendo cha Mheshimiwa Charles Kitwanga kuingia bungeni na kujibu swali linaloihusu wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi akiwa amelewa. Gerson Msigwa Kaimu...

Friday, May 20, 2016

Shambulio lilitekelezwa wakati wa swala jioni Polisi nchini Tanzania wanawazuilia watu watatu wanaotuhumiwa kuhusika shambulio katika msikiti mmoja mjini Mwanza magharibi mwa nchi hiyo. Watu watatu, akiwemo Imam, walifariki wakati wa shambulio hilo lililotekelezwa katika msikiti wa Rahman wakati wa swala ya usiku siku ya Jumatano. Kwa mujibu...
Staa wa Marekani, Ne-Yo jana usiku alitua jijini Dar es Salaam akitokea Marekani akiwa na ulinzi mkali. Muimbaji huyo wa ‘Miss Independent’ alitua kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere mida ya saa tano kasoro usiku. Staa huyo aliyekuwa amevaa nguo zote nyeusi na kofia ambayo alikuwa ameifunika na hood aliwapungia mkono waandishi wa habari na mashabiki waliokuwa wamejitokeza kumpokea kabla ya kuingia moja kwa moja kwenye gari na kufunga vioo. Mlinzi wake pandikizi la mtu,...
Drake amezidi kuonyesha ubora wake kwenye tuzo za BET zitakazofanyika, Juni 26 huko Los Angeles, Marekani. Mwaka 2016 umekuwa wa neema kwa Drake baada ya kuonekana mara tisa kati ya vipengele sita alivyowekwa akifuatiwa na Beyonce pamoja na Rihanna. Pia albamu yake ya ‘Views’ inazidi kushika namba moja kwenye chati za Billboard baada ya kuuza nakala zaidi ya milioni 1.04 ndani ya wiki mbili...

Wednesday, May 4, 2016

  Mvulana huyo amepewa $10,000 Mvulana wa umri wa miaka 10 nchini Finland ameshangaza wengi baada ya kugundua udhaifu katika mtandao wa kijamii wa Instagram. Mvulana huyo kwa jina Jani ametunukiwa $10,000 (£7,000) baada ya kugundua udhaifu huo uliowezesha mtu kuingia kwenye mtandao huo wa kusambaza picha na kufuta maoni ya watu. Jambo la...
Kanali Bagaza alikuwa na umri wa miaka 69 Rais wa zamani wa Burundi Kanali Jean-Baptiste Bagaza amefariki akitibiwa nchini Ubelgiji. Kanali Bagaza amekuwa akitibiwa kwa muda katika hospitali ya Sainte Elisabeth mjini Brussels. "Imethibitishwa, rais wa zamani Jean Baptiste Bagaza amefariki dunia akiwa nchini Ubelgiji,2 ameandika mshauri wa rais...

Tuesday, May 3, 2016

Afeni Shakur Mamaake aliyekuwa mwanamuziki wa mtindo wa Rap Tupac Shakur ,Afeni Shakur amefariki akiwa na umri wa miaka 69. Kaunti ya California imethibitisha kifo chake kupitia ujumbe wa Twitter.Hakuna maelezo zaidi yaliotolewa. Alice Faye Williams,alibadilisha jina lake na kuitwa Shakur akiwa mtu mzima alipokuwa mwanaharakati wa kisiasa na...
IMF: Uchumi wa Tanzania waongoza Afrika Mashariki Tanzania inatarajiwa kusajili kiwango cha juu zaidi cha ukuaji wa uchumi wake mwaka huu katika kanda ya Afrika Mashariki na kati. Hii ni kwa mujibu wa ripoti ya shirika la fedha la kimataifa - IMF. Katika ripoti yake iliyotolewa hii leo Tanzania inatarajiwa kusajili kiwango cha juu cha ukuaji...

Thursday, April 28, 2016

Madhara ya mvua kubwa mjini Dar es Salaam Leo imekuwa siku ngumu sana kwa uchukuzi mjini Dar es Salaam, Tanzania. Kisa na maana,,,,mafuriko. Wenyeji walitatazikika kuendesha shughuli zao za kawaida  Baadhi ya barabara kuu za kitovu hicho cha kibiashara cha Tanzania, zilikuwa hazipitiki. Maji kila mahali  Mvua kubwa inayoendelea kunyesha hivi sasa kanda yote ya Afrika...

Thursday, April 21, 2016

  Mamlaka ya Mapato nchini (TRA) imekiri Serikali kupoteza mapato mengi ya ndani kwa miaka ya nyuma kutokana na mapungufu ya Sheria ya kodi ya ongezeko la thamani ya mwaka 1997 na Sheria ya Usimamizi wa kodi. Mapungufu ya Sheria hizo yaliikosesha nchi mapato kwa kile kilichodaiwa kuwepo kwa misululu mingi ya misamaha ya kodi, iliyotolewa kwa sababu mbalimbali. Katika mafunzo maalumu ya...
BAADA ya jana kutolewa kwenye michuano ya klabu bingwa barani Afrika na Al Ahly ya Misri, Yanga sasa imepangiwa kucheza na Sagrada Esperance ya Angola kwenye michuano ya kombe la shirikisho. Sagrada wako nafasi ya 10 katika msimamo wa ligi ya Angola wakiwa na alama 9 pekee. Yanga sasa itaanzia nyumbani Dar es Salaam katika mchezo wa kwanza kati ya Mei 6 na 8 kabla ya kurudiana kati ya...
Wizara ya Viwanda na Biashara imeliagiza Shirika la Viwango Tanzania (TBS) kusimamia na kuhakikisha wazalishaji wa bidhaa nchini wanakuwa na alama ya Msimbomilia au BarCode inayotambulisha bidhaa husika lengo likiwa ni kuondokana na bidhaa feki. Wizara hiyo imesema kuwepo kwa alama hiyo kutaziwezesha bidhaa za nchini kuwa na soko na hatimaye kuepukana na bidhaa toka nje ya nchi ambazo viwango...

Wednesday, April 20, 2016

Kaimu kamishina wa madini, Ally Samaje MADINI aina ya Tanzanite ya thamani ya Sh bilioni 2.5 yaliyokamatwa mwaka jana yakitoroshwa nje ya nchi, yatauzwa kwa mnada wa hadhara wakati wa maonesho ya kimataifa ya madini ya vito yaliyoanza jana hapa. Madini hayo yalikamatwa kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) yakitaka kutoroshwa kwenda nje ya nchi bila kufuata utaratibu wa...

Thursday, April 14, 2016

var thumbnail_mode = "float" ; summary_noimg = 180;summary_img = 180;img_thumb_width = 365;img_thumb_height = 280; ...

Sunday, April 3, 2016

Wachezaji wa ligi kuu ya Uingereza wanatumia madawa yaliyopigwa marufuku Serikali ya Uingereza imeanzisha uchunguzi wa dharura kufuatia ufichuzi kuwa wachezaji...

Sunday, March 13, 2016

Germanwings: Madaktari watoe siri za marubani Wachunguzi kutoka Ufaransa, wamependekeza sheria kali inayozuia madaktari kufichua siri za marubani wagonjwa iondolewe. Wanasema...

Wednesday, February 10, 2016

  Marehemu Idi Amin Dada aliiongoza Uganda kwa miaka minane kati ya mwaka wa 1971 hadi 1979 Mgombea wa urais katika uchaguzi...
Chifu Mandla Mandela taabani kwa kuukubali Uislamu  Hatua ya mjukuu wa kiongozi mwanzilishi wa Afrika Kusini Nelson Mandela , Mandla, 42, kuslimu na kuoa mke wa nne imevutia...