Maafisa wa Uchina wanasema meli ndogo iliopatwa na ajali na kuzama
katika mto Yangtse ikiwa na abiria zaidi ya 450 haikuwa na uwezo wa
kuhimili dhoruba ya upepo mkali.
Meli hiyo iitwayo The Eastern Star ilizama dakika chache tu ilipokumbwa na upepo uliovuma kwa kasi usiku wa Jumatatu.Miaka miwili iliyopita meli hiyo ilichunguzwa kwa madai ya kukiuka vigezo vya ubora na usalama.
Watu saba wamethibitishwa kufariki huku watu kumi na tano wakiokolew
0 comments:
Post a Comment